Confession 1193

Confessions.co.ke

Moderator
Staff member
KUNA TYM TULILIPA LODGING MLOLONGO KUENDA KWA ROOM INANUKA NA CLUB HAPO CHINI MUSIC ILIKUA INA BOOM HADI UWEZI LALA. KURUDI KUITISHA PESA YETU TUKAAMBIWA NI NON REFUNDABLE. MY FRIEND AKANISHOW TUSILALAMIKE TURUDI TU ROOM. KUFIKA ROOM AKANISHOW TU RAPE HIYO ROOM. ILE MANENO TULIFANYIA HIYO ROOM HUNI HAUNT HADI WALEO!

Read More...
 
Top